Wednesday, October 26, 2011

IMETOSHA WENZANGU


Tabu maisha kila siku,maajabu mchana hata usiku haya ndo maisha yetu

Salama sana wenzangu, leo hizi ni salamu zangu za dhati, salamu za upendo salamu zitokazo ndani uvunguni mwa moyo wangu salamu zilizobeba dhati ya moyo wangu,nyoyo zetu zimebeba chuki , visasi na risasi,Nafsi zetu zinatiririka  machozi ya majuto na upendo machozi haya yameanza safari ndefu yakilainisha pua zilizo tuonea kinyaa kila tulipopaza sauti, ikilainisha midomo iliyotubeza kutununia na kutufokea yakitiririka zaidi hadi kifuani kulainisha mioyo migumu,tena zaidi machozi inalainisha mikono migumu iliyotusukumia mbali sasa inatukumbatia na kufungua ukurasa mpya.Isikieni sauti yangu ikiwanong'oneza turudishe mioyo yetu nyuma, Furaha yetu kamili inategemea furaha yao poleni wenzangu nawatakia maisha yenye furaha.YA JANA NI HISTORIA, YA LEO NI MAJAALIWA NA KESHO NI NDOTO TUNAYOITEGEMEA KUTOKA KWA MUNGU.

MAPENZI HAYA ZEEKI JAMANI

Linda, even a 90-something-year-old woman can find a man...what is wrong with you? :-)

Tuesday, October 25, 2011

BALOZI MPYA WA NOBBLE HAIR NI HUYU HAPA

I ni Eddo ndiye balozi  mpya wa nobble hair 

Ni muigizaji wa filamu nchi Nigeria

Haya wapenda nywele kazi ni kwenu sasa

VIPI HIZI STYLE ZA NYWELE TUKIZIITA MCHARUKO STYLE?!

Kaka kajipinda menyewe kutengeneza nywele

Hii unaionaje?

Huyu kama kapendeza vile!

Hapa sasa

mhm!

HOT STYLE IN TOWN YAITWA COLOUR BLOCKING MWENZANGU

Ni wewe tu upangiaji wako wa  rangi

Umeoona eeh?


Hawa kidogo tu wafanane

Wakaka mnahusika pia msiogope jamani.

Monday, October 3, 2011

MJUKUU MWENGINE WA BIG BROTHER ANAKUJA SOON

Quinn and Jennipher
Hawa walikuwa washiriki wa Big Brother Africa mwaka 2009, na wao pia wamefuata njia ya Elizabeth Gupta na Kelvine Chuang' hivyo wanakaribia kupapa mtoto wao wa kwanza soon
Bibie Jennipher alianza mahusiano ya kimapenzi na Quinn mara tu baada ya kutoka kwenye jumba la big brother 2009, na akaamua kuhama nchini mwao Mozambique na kuamia South Africa kwa mpenzi wake Quinn.So big brother anatarajia kupata mjukuu mwengine soon.

SPEECH LESS!!.....................

Anajiita Bilali Mashauzi

Sijui ni sawa nikisema "mwanaume kazi" ati anasasambua kwenye kitchen part?

Khalid Bakota huyu

Yeah," mwanaume kazi"

Aunt Suzzy

Aunt suzzy, yeye anaisikitikia alivyo anaona ameharibikiwa na yupo mtu mtu tu, hawezi kuoa, hawezi kuzaa