Tuesday, August 30, 2011

KAREN IGHO AZIKANA PICHA ZA UCHI

Huyu ni mmoja kati ya wale washindi wawili wa Big Brother Africa kutokea Nigeria Karen Igho, Amekanusha vikari picha za uchi zilizo sambaa muda mrefu ambazo  zinajulikana kama ni picha zake.

Karen anasema, mwanamke aliye kwenye picha hizo si yeye, ni picha za kutengeneza tu ili kumchafulia heshima yake na anasema wametengeneza picha hizo na kusema alikuwa ni msasambuaji ( Stripper)  maarufu nchini Uingereza.
 
There's a naked photo going round on the internet that is supposed to me. It's a lie, it's not me. It's the work of photoshop. I have never posed nude and no amount of money can make me want do it. My private body is mine. I wouldn't want Africa to see me naked. There is also the stories flying around saying that I am an ex-stripper. This is not true. As God don bless me, bad belle people wan bring me down. There are some things I will never do for money and my culture has taught me that. I am very principled. Mi nimeamua kukuwekea picha moja ukitaka zaidi GO AND GOOGLE

NAWATAKIA SIKU KUU NJEMA NA MSHEHEREKEE KWA FURAHA NA AMANI


STEPHANIE OKEREKE SASA NI BALOZI WA BRAND MPYA YA NYWELE ZA KANEKANON


Nigerian star, Stephanie Okereke amechaguliwa kuwa balozi wa  nembo mpya ya nywele nnchini Nigeria

Aina ya nywelw zenyewe ndo hizo alizosuka (  Rasta )

Ubalozi ndo umeanza kuchukua nafasi hapo

Hapo akiwa katika chumba cha kutolea habari na wamiliki wa Brand hiyo ya nywele.

Monday, August 29, 2011

Official Bikini, Evening Wear & Profile

Nelly Kamwelu na kivazi cha jioni

Nelly na Bikini

Nelly Kamwelu
Country: Tanzania
Hometown: Dar Es Salaam
Age: 19

Sunday, August 28, 2011

NDOA YA JIBU KWA J-Z NA BEYONCE

Beyonce ameamua kuweka hadharani sasa  kuwa yeye ni mjamzito baada ya minong'ono na umbea umbea kwa watu wanaopenda kuzunguamzia vitu wasivyo uhakika navyo

Kama picha zinavyomuonesha, Mimba haijifichi wakati ukifika mtajua tu, maana kunawatu wanazizunguamzia mimba za watu za mwezi mmoja tu.
 Habari ndo hiyo


div>

MERCY JOHNSON SASA NI MRS ODIANOSEN OKOJIE'S

Mr and Mrs hao taratiiibu kwa raha zao, pamoja na mizunguko ya hapa na pale  iliyotaka kuvunja mipango ya harusi yao lakini leo imetimia

Mtoto ndani ya shela akisubili kufunuliwa tu hapa


Kwa raha zako mama.

Wednesday, August 24, 2011

LOOK OF THE DAY, PATRICIA KIHORO FROM KENYA

Ni Patricia Kihoro, ni Mzaliwa na mkazi wa kenya, Ni "News ANCHOR" wa ONE FM...Lakini pia ni Mwanamuziki na nimwigizaji anayefanya vizuri na kukubalika Nchii Kenya, Unaweza ukaangalia moja ya kazi yake katika video ya Sauti Soul " COMING HOME" alikadharika ameshashiriki Tusker Project Fame Mbili zilizopita.

Black and killing it !

Back to Africa, Ni mwanadada Mwenye muonekano mzuri anapovalia nguo za Kiafrika zaidi kama anavyoonekana. HARISI NA UZURI WA KWELI NI HUO.

Niiii, KIM K na KIMORA LEE wa BONGO

Mboni Masimba a.k.a Kim Karadashian

Kim k

Salma Msangi a.k.a Kimora Lee

Kimora Lee

>

MADEMU WA KIBONGO NINAOWAFAHAMU WALIOPO KWENYE MUSIC VIDEO ZA MAJUU NI HAWA

Cynthia Masasi , Mwanadada asiyependa kujiweka nyuma kabisa  kimaendeleo ambaye ni , Actress, model " face of East Africa, Video girl pia.

Na pia ni mjasilia mali, anabiashara ambazo anafanya kujiongezea kipato

Super model mwengine ni Huyu hapa  Flaviana Matata

Picha  hii ni moja kati ya kazi  ya uanamitindo
Na hii ni picha ya Born this way " wimbo wa Lady Gaga" ambapo Flaviana yumo, sijaipata vyema picha yake ila unaweza ukaangalia hiyo video kwa umakini utamuona
Hapa yupo kwenye video ya wimbo wa Ride, wimbo uliopigwa na  Ace-Hood  na kuufanyia remix na kuwashirikisha kina Rick Ross, Trey songz,, Juelz Santana , T - pain na wengine waliopo kwenye video kumpa kampani mshikaji.

Cynthia masasi  kama anavyo onekana

Monday, August 22, 2011

BAADA YA SAFARI ZA KIMAPENZI NYINGIIIIIII KIM SASA NI MKE WA MTU

Kim na baba yake Bruce akipelekwa eneo rasmi la kufungia ndoa

Mambo yalikuwa bam bam tu kwa kina Karadashian sisters

Mwanzoni alichagua hii nguo kuivaa siku ya Harusi cjui ikawaje tena

Kama mdori vile


EAST AFRICA MUSIC AWARDS ZILIKUWA POWA HUKO KENYA


Mwanamuziki aliyechakuliwa wa kimataifa ni Mzee mzima Papa wemba

Hawa ni baadhi ya wabongo walio wakirisha vizuri, Christina Shusho

Ay

Msondo Ngoma

ETI WAKAKA, MWANAMKE WA AINA GANI MNAOPENDA KUWA NAO?!

Mwanamke mzuri jikoni lakini Kitandani mtupu.....ama..................

Mwanamke mzuri kitandani lakini mbovu jikoni.................kuweni wakweli basi................

Friday, August 19, 2011

PENGINE KUJIITA JINA LA MNYA HUYU NDO KUMEMVUTIA NA KUFANYA ALIYO YA FANYA

Huyu ni kinyonga ( CHAMILION ) ndiye mnyama pekee anayebadilika mara kwa mara kutokana na mazingira anayokuwepo, ila wataalam husema anafanya hivyo kwa ajili ya security

Lakini huyo aliyetupia lemba hapo kulia ni bwana Gadaffi anaye tambulika kama Joseph alipokuwa anabadili dini

Chamilion ( kinyonga)  aliye amua kurudi kwenye dini yake ya zamani ya kikristo baada ya kukaa masaa 98 ya Uislam, na amefanya hivyo kwa Security pia maana ndugu jamaa na marafiki walimtenga akaona isiwe tabu............kuhusu imani anajua yeye mwenyewe.

Wednesday, August 17, 2011

HONGERA YA DHATI KWA ELIZABETH GUPTA NA KELVIN CHUWANG

                                                                  Baby Malaika

Hongera ziwaendee waliokuwa washiriki wa Big brither Africa 2009 , Elizabeth Gupta, na Kelvin Chuwang kwa kupata mtoto wao wa kwanza na sasa ni Baba na Mama Malaika Rasmi

Mr and Mrs Chuwang kwanye maandalizi ya Harusi yao ( SEND OFF PIC )

Monday, August 15, 2011

KWENDA NA FASHION SIO LAZIMA UVAE NGUO ZINAZOKUACHA UCHI


Unatakiwa kujua kwenda na wakati au Fashion sio lazima wewe kuvaa nguo zinazokufanya uonekane upo uchi, unaweza ukavaa nguo nzuri tu ndefu ama fupi kiasi ili kuonekana unajiheshimu wewe mwenyewe kabla haujaheshiminwa na watu wengine.

Maana utakuta mtu amevaa, matiti ama kalio yote yapo nje Asa ndo nini jamani! kama huna kwenu!?
Jiheshimu basi mwana dada mwenzangu, na ujue kwamba si kila mtu anavutiwa kuangalia  sehemu zako ambazo astahiri kuziona.