Thursday, July 28, 2011

NIMEACHA KUVUTA BANGI_2FACE IDIBIA

Amefanya mahojiana na YES MAGAZINE,na akaamua kufunguka juu ya mambo kibao yanayomuhusu moja kati ya mambo hayo ni tabia ya kuvuta bangi

Sikuwah kujaribu kuvuta cocaine / heroine  ila nilikuwa nikivuta bangi zamani, na sikuwa naivuta kwa kiasi kikubwa nilikua naivuta kidogo kwa starehe tu na nikaona Bangi sio nzuri kwangu na nikaacha miaka kadhaa iliyopita, haikuwa raisi kuacha ila ilinibidi kujilazimisha mpaka kuacha, Unajua mguvu nyingi za vijana zinajisukuma kwenye mambo kama hayo ya mabangi na madawa mengine ya kulevya.katika kipindi chote hiko nilikuwa nasikiliza mziki kama" ROLL DOWN" the street smoking song na nyimbo za hivyo zilikuwa na ushawishi na nikashawishika kujaribu ,na nawashauri wanamuziki wenzangu si vyema kuandika nyimbo zenye kusifia Bangi.  
KAMA  2FACE AMEWEZA KUACHA KUVUTA BANGI , NA WEWE UNAWEZA KUACHA, NDIO UNAWEZA KUACHA, BANGI NOMA                                                                                                                                             

Wednesday, July 27, 2011

SIO KILA MTU ANAFURAHIA KUONA MNAPENDANA

Ni wazi kabisa kuwa wawili wakipendana na kuwa pamoja,kuna baadhi ya watu huwa na wivu na chuki zisizo na msingi ambapo unapoona mwenzako yuko kwenye mahusiana na mtu anayempenda,

anamjali na muda wote wapo katika furaha na huku akiangalia kwa upande wake mahusiano aliyonayo hakuna amani basi akiona mwenzake mahusiano yake yapo vizuri anachukia na kuwaza afanye nini ili aweze kuvuruga uhusiano huo
hapo ndipo ataanza kutafuta maneno ya uongo na kukuletea alimradi tu awakorofishe usipokuwa makini utajikuta unakuwa katika migogoro.

Muhimu kuchunguza kile unachoambiwa, kwani siyo wote wanapenda kukuona ukiwa na furaha.Kitu kingine ni kwamba kwa wale wenye tabia ya kuwa na chuki binafsi haipendezi kumfanyia mwenzio vibaya ni vizuri kutamani na kuwa na malengo ya kuitafuta furaha kama aliyonayo mwenzio kuliko kuchukia na kutaka kumuharibia kwani kwa kufanya hivyo haikusaidii chochote. Jamani tuwe makini kwani ni vigumu kumtambua adui yako inawezekana akawa ndugu yako,rafiki yako au jirani yako ......

HIVI NDIVYO TANESCO WANAVYOFANYA WAKATI SI TUNAUMIA

Hii ni makida makida ya Tanesco wakati wananchi tunalalamika kuhusu umeme, mweh!

Tuesday, July 26, 2011

MONALISA CHINDA AFUNGUKA JUU YA NDOA YAKE

Monalisa ni muigizaji maarufu nnchini Naigeria na anajulikana Africa nzima kwa ujumla kwa wale wapenzi wa  filamu za Nigeria

Monalisa akiwa na mtoto wake,amefunguka juu ya ndoa yake katika chombo kimoja  cha habari nchini Naija...............nukuu chini alipokuwa anafunguka
            
Kiukweli sipendi kuongelea kuhusu maisha yangu ya ndoa, lakini kama ni kweli inabidi niongelee ( kutokana na swali aliloulizwa) sijaondoka kwenye ndoa yangu kiukweli  nimeikimbia kabisa, na kusema kweli namuheshimu  aliyekuwa mumewangu kwa kuwa ni Baba wa mtoto wangu,tena kwa manufaa nahitaji kuwa mwangalrifu hata kwa maneno yangu nayotumia katika mahojiano haya, kufeli kwa ndoa yangu  kulinifanya niwe mbali kambisa na hali yangu ya kawaida, na haukuwa muungano wa kawaida ( ndoa )

Kulikuwa na kesi za mara kwa mara za matendo ya kujeruhiana, na nitakuwa mjinga nisipoliweka hili wazi kwamba kulikuwa na kesi za kuumizana na kulaumiana kwa upande wangu,kutokana na kiwango kikubwa cha kuumizana, nilifikia kukasirika kama vile mwendawazimu hali ilikuwa mbaya kihasi hiko,Tulikuwa kama simba wanaowindana  na nikaona maisha hayo hayana mwisho hivyo nikaamua kukimbia ndoa mnamo Jul 10,2009.

KIM NA MPENZI WAKE KRIS HUMPHRIES WAFANYA PART YA KUUAGA UBACHELOR

Kim Karadashian akiss na mumewe mtarajiwa

Umepeta ujumbe huo! for life mwaya........

Miss kim na Crown yake ya bachelor anatafutwa wa kukabidhiwa ye ndo anavua gamba hivyo

Kim akipokea keki

Katika kupongezana mchezo unakuwa ni pesa tuuuuuuuu

Scot "Kourtney huby" Rob mdogo wake na kina K, Lamar "Khole huby" 







Friday, July 22, 2011

BODA BODA EEEH,BODA BODA EEH

2face Idibia akicheza na watoto...nice.

WITNESS AFIWA NA KICHANGA CHAKE

Pole witness kazi ya mungu  haina makosa

Witness enzi hizo akiwa wakirisha, alijifungua leo na mtoto alifariki muda mchache tu baada ya kujifungua.

Wednesday, July 20, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Leo najumuika na  ndugu jamaa marafiki katika Kuwapa sapoti wazazi wangu kwenye siku kama ya leo walipo nipata mimi rasmi.

Namshukuru mungu na kumuomba anijaalie mengi na meme zaidi siku zote za maisha yangu.

KATIKA MAHUSIANO USIPOKUWA MAKINI UTAKUWA NI MTU WA KULIA NA KUUMIZWA KILA WAKATI.....

Inawezekana usiamini macho yako kwa kile kilichotokea kwa yule unayempenda,labda ulimfumania,na mwanamke mwingine,,hivyo kujikuta ukilia kwa uchungu usiamini kilichotokea na katika hatua hii ndio wengine unakuta anafikia uamuzi wa kusema kila mwanamume ni muongo na siwezi kupenda tena

Maumivu huwa yanatofautiana mwingine hufika hatua ya kuugua na hata kulazwa hospitali,mwingine kunywa sumu..yote ikiwa ni kukata tamaa ya kuendelea kuishi kwasababu ya mapenzi..jamani mapenzi ni matamu sana lakini yanaweza kugeuka na kuwa machungu,,,bila kutegemea..kilichobaki ni kufanya maamuzi sahihi pale unapotafuta mchumba kuwa makini sana usikurupuke na kujikuta siku zote wewe ni mtu wa kulia katika mapenzi.Utakuta ndani ya mwaka mmoja umekuwa katika mahusiano na watu zaidi ya wa tano na wote wakakuumiza..yaani unajikuta umekuwa kama chombo cha kutumika na kutupwa.Umakini ni wa muhimu sana.

Tuesday, July 19, 2011

HAPPY BIRTHDAY MTOTO MZURI KIJAH

Kijakazi Yunus, she (......) now

Me & her

Allan & kijah

WIZ KHALIFA GOES 'down there'

Umeona eeeh

Amba tattoo kwenye dole gumba

Cam baby

ONA MAMA ALICHOFANYA KWA MWANAE


Mwanamke mmoja mwenye  umri wa  29, Grace Jacob pichani ameshitakiwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mtoto wake mwenye umri wa miaka 10 Emmanuel.

Monday, July 18, 2011

HAPPY BIRTHDAY MADIBA

Hii ni pic ya mwaka jana alipokuwa anaadhimasha siku yake ya kuzaliwa pia

Happy birthday Naelson Madiba Mandela

Friday, July 15, 2011

BIG BROTHER LADIES HAWA

Comfidence- Huyu dada ni mtu mzima lakini ni mwehu tu kwa kweli na hata Ghana walijiuliza kama ataweza kuiwakirisha nchi yake vizuri maana  lakini alifanikiwa kwa namna moja ama nyengine  lakini kiukweli mwehu ni mwehu tu.

Habari ndo hiyo

Karen - huyu ni mjasilia mali kabisa maana hamna cha zaidi cha kuzungumzia hapa.

Umeona eeeh!

Weza- Huyu ni model na hata picha hii aliipiga akiwa katika mambo yake ya kikazi ( usiogope )

Thursday, July 14, 2011

BECCA & 2FACE NA KITU KIPYA "BAD MAN BAD GIRL"

Becca mzigoni

Nice pic

Bad man and Bad Girl hawa...........


Becca ni Super Star wa Nchini Ghana ameamua kushirikiana na Super Star wa Nigeria 2face Idibia katika track yake mpya  " BAD MAN BAD GIRL"  Video ya track hii mpya inarecordiwa Nchini Ghana hivi sasa  so kaa tayari kwa burudani kali.

KIM KARADASHIAN NA KIVAZI CHA ENZI ZA MWALIMU

Na hii gari ndo kama 50s iliyopita vile

Ameonekana vyema hapa.......


Kim ameonekana na vazi hilo wakati wa Ku film  muonekano wa Perfum yake mpya.

Wednesday, July 13, 2011

TUJIKUMBUSHE KIDOGO

Days of our lives-cast


Cast

Demeras family

Kayla and Steve

Sammy and Lucas

Ilitokea kupendwa sana kama ambavyo zinapendwa Tamthilia za kiphilipino hivi sasa, Nakumbuka tulikua tukiangalia kupiatia C T N na Chanel Ten, alafu sijui ikawaje tena...........nimeiona juzi kupitia E tellevission ya South Africa Nikawakumbuka sana watu hawa.